Kwenye tukio la kuuaga mwili wa Masogange,Diamond atowa wengi machozi  (+video)

Wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz leo Aprili 22, 2018 wamekutana uso kwa uso kwenye msiba wa Video Queen, Agness Gerald maarufu kama Masogange.Tukio ambalo limezua gumzo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam kwani watu wote walianza kupiga makelele baada ya wawili hao kusalimiana.Diamond alikumbusha wasani wenzie kuwa kifo ni njiya yakira mtu wasije wakasahau kutokana na pesa na upendo.

Image result for Diamond Platnumz kwenye msiba

 

Shabani Chris

JIUNGE NA CELEBZMAGAZINE.COM SASA
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *